JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: December 2017

NUNUA LUKU KWA NJIA ULIYOZOEA BAADA YA MAREKEBISHO SASA MAMBO POA

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) Tunawataarifu Wateja wetu kuwa, hivi sasa mifumo ya LUKU inapatikana katika njia zote za manunuzi. Wateja mnaweza kufanya manunuzi kwa kutumia njia zote. Asanteni kwa ushirikiano wenu. Tovuti: www.tanesco.co.tz Mitandao ya Kijamii www.facebook/tanescoyetultd twitter.com/tanescoyetu Imetolewa…

CHADEMA: Uhamuzi wa Magufuli ni wa Utekerezaji Ahadi Yetu

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimempongeza Rais John Magufuli kwa kutekeleza ahadi zilizotolewa na mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa ikiwemo ya kuwaachia huru wanamuziki Nguza Viking na Johnson Nguza ‘Papii Kocha’. Taarifa iliyotolewa jana  Jumamosi na chama…

Mrema Anena Neno Msamaha wa Wafungwa

Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, Augustine Mrema amepongeza uamuzi wa Rais John Magufuli wa kutoa msamaha kwa wafungwa na kumuelezea kama Rais mwenye upendo wa aina yake. Mrema amesema ni wazi kuwa Rais amesikia kilio cha watu na kuamua kufanya…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 10, 2017

Kam upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumapili Disemba, 10, 2017 nimekuekea hapa.

Bandari Kwafukuta

*Mkurugenzi wa Ulinzi asimamishwa kazi kimyakimya *Timu aliyounda Rais Magufuli yaendelea na upekuzi *Wasiwasi watanda kwa watumishi, wafanyabiashara *Mjumbe wa Bodi ataka NASACO irejeshewe udhibiti Na Waandishi Wetu Kuna kila dalili kuwa hali ya hewa imechafuka tena katika Mamlaka ya…

Rais Magufuli Atoa Msamaha kwa Wafungwa 8157

Rais Magufuli ametangaza msamaha kwa wafungwa 8,157 ikiwa ni kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kati yao, wafungwa 1,828 watatoka leo na 6,329 wamepunguziwa muda wa adhabu. Miongoni mwa Wafungwa hao waliopata msaha wapo pia wafungwa…