Month: December 2017
Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 11, 2017
Kam upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatatu Disemba, 11, 2017 nimekuekea hapa.
Borussia Dortmund Yamtimua Peter Bosz na Kumchukua Peter Stöger
Borussia Dortmund leo tarehe 10 Novemba 2017, imetangaza kumfukuza kazi kocha wake,Peter Bosz na kumuajili Peter Stöger. Peter Bosz amepoteza michezo 12 tangu ajiunge na klabu hiyo na kitu pekee cha kushangaza ni kwamba Dortmund wamemuajili kocha ambaye ametimuliwa na…
Wanawake 24 Sudan Hatarini Kucharazwa Viboko 40 Kila Mmoja
Wanawake 24 wa Sudan wameshtakiwa kwa kujivunjia heshima, baada ya kuonekana wamevaa suruali katika karamu moja mjini Khartoum. Karamu hiyo ilivamiwa na polisi wa nidhamu siku ya Jumatano. Suruali zinachukuliwa na wakuu kuwa vazi la utovu wa adabu, na adhabu…
Jiji la Manchester Leo Mtoto Hatumwi Dukani
Ligi kuu nchini Uingereza leo inaendelea tena ikizikutanisha wapinzani wakubwa kutoka jiji la Manchester, Manchester United na Manchester City ambazo zote zikiwa kwenye mbio za kupigania ubingwa. Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema mchezo mkubwa baina yao na Manchester…
Magufuli Asaini Misamaha Ya Wafungwa
Rais John Magufuli amesaini nyaraka za wafungwa 63 ambapo wafungwa 61 walikuwa wamehukumiwa kunyongwa na wawili kifungo cha maisha. Nyaraka hizo alizisaini mbele ya Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa huko Dodoma. Katika msamaha huo wamo wanamuziki wawili,…
Tuhuma za Rushwa Zamkuta Mwenyekiti UVCCM Dodoma
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma inamshikilia Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Sadifa Juma Khamis kwa tuhuma za kugawa rushwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi. UVCCM leo Jumapili Desemba 10,2017…