Month: December 2017
Mafanikio yoyote yana sababu x (1)
Wanatoka tumbo moja lakini hawafanani. Ni methali ya Tanzania. Watoto wenye wazazi walewale, walionyonya titi lile, na kusoma shule ile ile kimafanikio wanatofautiana. Kinachowatofautisha ni sababu x. Wanadarasa wakiwa na viwango tofauti vya ufaulu darasani. Inatokea aliyetangulia darasani hapati mafanikio katika…
Nani Wanaoratibu Biashara ya ‘Kubeti’?
Mpita Njia (MN) ni miongoni mwa wale wanaoamini kuwa utandawazi maana yake si kuachia kila kitu kijiendeshe kienyeji. Anajiuliza, mbona huko ulikozaliwa huo utandawazi kuna mambo mengi yamepigwa kufuli? Mbona huku kwetu kila jambo – lililo baya au lililo jema-…
Dalili Hizi Zinaashiria Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI
Watu wengi wamekuwa ni waoga sana wa kupata vipimo vya ugonjwa kutokana na madhara ya kisaikolojia yanayojitokeza baada ya kujua kuhusu ugonjwa, wengi huamua kubaki kwenye hali ya sintofahamu. Kupitia dalili zifuatazo unaweza kupata mwanga kama umeambukizwa virusi vinvyosababisha ugonjwa…
Hakuna Uzalendo wa Hiari
Namwona Deodatus Balile kwenye Malumbano ya Hoja (ITV). Anajitahidi kueleza, lakini inshangaza sana baadhi ya wasemaji kunadi kuwa uzalendo ni suala la hiari! Heee, ajabu sana! Uzalendo unajengwa tena kwa gharama kubwa -tutake tusitake- siyo suala la mtu kuzaliwa na…
Babu Seya, Papii Watikisa
Watu mbalimbali ndani na nje ya nchi wamepokea kwa shangwe kuachiwa huru kwa mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi nchini, Nguza Viking (Babu Seya) na mwanawe, Johnson Nguza (Papii Kocha) baada ya kuwapo gerezani kwa miaka 13 na miezi minne….
Loliondo Yametimia
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametangaza kumaliza mgogoro wa matumizi ya Pori Tengefu la Loliondo (LGCA) ambao umedumu kwa takriban miaka 26. Desemba 6, mwaka huu, Waziri Mkuu alitangaza msimamo wa Serikali kuhusu eneo hilo kupitia kikao alichokiitisha ofisini kwake Mlimwa,…