JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: December 2017

Pochettino Matatani

Bundi ameanza kulia ndani ya klabu ya Tottenham ya London baada ya kujikuta ikisukumwa nje ya  timu nne za juu (top 4) hadi  kuangukia nafasi ya sita. Baada ya kupata ushindi dhidi ya klabu ya Real Madrid na ushindi wa…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 13, 2017

Kam upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatano Disemba, 13, 2017 nimekuekea hapa.

UN Yakutana Kumjadili Trump

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeombwa kuitisha mkutano wa dharura  kujadili hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump  kuuhamisha Ubalozi wa Marekani kutoka Telaviv hadi Jerusalem. Maamuzi hayo yalisababisha maandamano makubwa yaliyosababisha watu 17 kujeruhiwa kwa risasi na…

Tusiwasahau Wapalestina

Juma lililopita Rais Donald Trump wa Marekani alitangaza uamuzi wa serikali yake kuhamisha ubalozi wa nchi hiyo Tel Aviv kwenda Jerusalem. Ni hatua inayotokana na tamko kuwa serikali yake imetambua rasmi kuwa Jerusalem ni makao makuu ya Israel. Ni hatua…

Asante Sana Waziri Mkuu, Uhifadhi Umeshinda

Desemba 6, 2017 itabaki kuwa siku muhimu katika kumbukumbu za kazi nilizopata kuzifanya. Hii ni siku ambayo Serikali, kupitia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ilitangaza ‘kuumaliza’ mgogoro wa Pori Tengefu la Loliondo. Naikumbuka siku hii, si kwa sababu ya kumalizwa kwa…

Airtel Yaleta Bando Mpya za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ MPYA

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Bi Beatrice Singano (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari. Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Isack Nchunda akisikiliza kwa makini maswali yaliyokuwa yakiulizwa na waandishi wa habari (hawapo pichani). Viongozi hao wakiwa wameshikilia bango la…