JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Month: December 2017

JPM: WANAOPOTOSHA ‘VYUMA VIMEKAZA’ WASHUGHULIKIWE

RAIS Dkt. John Magufuli ametoa agizo kwa Mamlaka ya Takwimu ya Taifa (NBS) kuwachukuliwa hatua haraka mashirika, taasisi na watu wanaotoa takwimu potofu kuhusu ukuaji wa uchumi wa nchi na mambo mengine ya serikali ikiwemo kuwakamata na kuwafikisha mahakamani.  “Wanaosema…

ALIYETEULIWA KUWANIA UBUNGE WA SINGIDA KASKAZINI KWA TIKETI YA CHADEMA AJIENGUA

SIKU moja baada ya NEC kuanika majina ya wagombe huku jina lake likitajwa kuwa miongoni mwao, Djumbe Joseph aliyepitishwa na (NEC) kugombea ubunge Jimbo la Singida Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameandika barua ya kujitoa…

JPM ABAINI AIRTEL NI MALI YA SERIKALI KWA ASILIMIA 100

RAIS John Magufuli amesema Serikali imebaini kuwa kampuni ya Mawasiliano ya Bharti Airtel ni mali ya Shirika la Mawasiliani Tanzania (TTCL) kumwagiza Waziri wa fedha na mipango kufuatilia suala hilo haraka ili Airtel irudishwe kumilikiwa na serikali. Rais ameyasema hayo…

Mfuko wa Jimbo ni ukiukaji Katiba

Moja ya hukumu murua kabisa kutolewa na mahakama ya juu kabisa nchini Kenya hivi karibuni, inahusu Mfuko wa Jimbo kwa kutamka pasipo kumung’unya maneno kuwa ni haramu kwa mbunge kugeuka mtendaji wa fedha za umma. Majaji wa Mahakama ya Rufaa…

Maandiko ya Mwalimu Sehemu Maendeleo ni Kazi

Lakini kulipa ni jambo la lazima kabisa, hakuna kusema kwamba atapata madawa ya bure, madawa ya bure yanatoka wapi? Hatuwezi tukasali misikitini na makanisani, tukamwambia , Mwenyezi Mungu, eee, tuletee kwinini, hawezi kuleta kwinini. Sasa hilo ndilo jambo moja ninalitilia…

Hii Ndio Video ya Wimbo wa Nandy “KIVURUGE”

Msanii wa Bongo Fleva Kutoka THT, Nandy  leo ameachia video ya wimbo wake wa Kivuruge na uliosimamiwa na Director Msafiri wa kwetu Studio. Dondosha coment yako chini ya Video hii