Month: December 2017
CCM Ijitenge na Siasa Huria
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetahadharishwa kujiepusha na hulka ya kuwapokea wanachama wanaotoka Upinzani, badala yake kijikite katika siasa za ukombozi zinazogusa ustawi wa maisha ya watu. Mhadhiri katika Idara ya Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM),…
UWT ‘Ilivyomkuna’ JPM Wakati UVCCM Ikimsononesha
Mikutano ya uchaguzi kwa jumuiya mbili za Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefanyika mkoani Dodoma wiki iliyopita, yote ikihutubiwa na Mwenyekiti wake, Rais John Magufuli. Jumuiya ya Wanawake (UWT) ikafanya mkutano wa uchaguzi uliomchagua Gaudencia Kabaka kuwa Mwenyekiti, wakati Kheri James…
Ozil, Kutimkia Old Traford
Klabu ya Manchester United ya Uingereza iko mbioni kumuuza mchezaji wake Henrikh Mkhitaryan ili kupata pesa za kumsajili kiungo wa klabu ya Arsenal, Mjerumani Mesut Ozil. Mchezaji huyo anatarajiwa kumaliza mkataba wake ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu…
Tusifanye Makosa Kurejea Kwenye Chama Kimoja
Kwa muda sasa Watanzania wameshuhudia wimbi kubwa la madiwani na wabunge wanaovihama vyama vyao. Walianza madiwani watano wa Arumeru Mashariki, wakafuata wenzao mkoani Kilimanjaro, kisha ikawa zamu ya wengine watatu wa Manispaa ya Iringa. Hawa wote walikuwa wa Chama cha…
Ndugu Rais Tumeipuuzia Asili Aasa Tunawayawaya
Ndugu Rais, Tanzania kama sehemu nyingine ya Afrika tulikuwa na mambo mengi sana ya asili ambayo tumeyatelekeza baada ya wakoloni kuja kutuamulia yapi tuyaendeleze na yapi tuyatupe kabisa. Ni kweli sikumbuki ni lipi la asili ambalo wakoloni walituachia wakitutaka tuliendeleze….
KESI YA LEMA KUTOA MANENO YA UCHOCHEZI DHIDI YA JPM: USHAHIDI WAANZA KUTOLEWA
Shahidi wa kwanza katika kesi ya kudaiwa kutoa lugha ya uchochezi dhidi ya Rais John Magufuli inayomkabili mbunge wa jimbo la Arusha mjini, Godbless Lema ameieleza mahakama kwamba alimtolea bastola mbunge huyo kwa kuwa alikuwa akijaribu kutoroka. Shahidi huyo, Damas Masawe…