Month: December 2017
Ni Kazi Kumpata Rafiki wa Kweli
Maisha ni urafiki. Mwanafalsafa mwenye asili ya Kiafrika Martin Luther Jr. King alipata kusema hivi, “Ukimya wa marafiki zetu unaumiza kuliko kelele za madui zetu”. Rafiki wa kweli ni rafiki siku zote. Mwenyezi Mungu ni rafikiwa kweli katika maisha yetu…
Miaka 44 Gerezani
Ni mfungwa wa aina yake nchini. Ameingia gerezani vyama tawala vikiwa ni Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shiraz (ASP). Chama Cha Mapinduzi kimezaliwa mwaka 1977 akiwa gerezani. Amewekwa gerezani wakati ambao Tanzania haikujua kama itapigana na Uganda kwenye vita…
Mafanikio Yoyote Yana Sababu (2)
Kufikiria vizuri ni sababu ya mafanikio. Tazama mbele ufikiri. Papa Fransisko alisema kuna lugha tatu: ya kwanza fikiria vizuri, ya pili hisi vizuri, ya tatu tenda vizuri. Kufikiria vizuri ni msingi wa mafanikio. Kuna aina mbalimbali za kufikiri. Kwanza ni…
Vidonge vya Uzazi wa Mpango na `Hisia’ za Madhara Yake
Ni kweli, matumizi ya vidonge vya kupangilia uzazi yana madhara? Swali hili nimeulizwa mara nyingi sana na wasomaji wa JAMHURI. Hivyo, leo kupitia makala hii utapata fursa ya kujua kama njia hii ya vidonge vya kupangilia uzazi ina madhara au…
Rais wa Ujerumani Ahimiza Ujenzi Taasisi Imara
Rais wa Ujerumani, Frank- Walter Steinmeir, amehitimisha ziara yake katika bara la Afrika kwa kuhimiza masuala ya demokrasia na maendeleo ya kiuchumi. Katika ziara yake hiyo, Rais Steinmeir amehimiza uimarishwaji vita dhidi ya ufisadi na mapambano imara juu ya uhamiaji unaoendelea…
Marekani Kufufua Mazungumzo Kati ya Israel na Palestina
Ikulu ya Marekani inatarajia kuanzisha upya juhudi za kufikiwa kwa makubaliano ya amani kati ya Israel na Palestina, licha ya uamuzi wa Rais Donald Trump kuitambua Jerusalem kuwa Mji Mkuu wa Israel. Mpango huo wa Marekani unatarajiwa kuja baada ya…