Month: December 2017
Nafasi Za Kazi 100 Kutoka Tanapa
Tanzania National parks (TANAPA) is a Parastatal Organization whose mandate is to manage and regulate the use of areas designated as National Parks. The Organization currently manages sixteen National Parks which form part of larger protected ecosystems set aside to…
Halima Mdee Anena Kuhusu Uuzwaji wa Nyumba za Serikali
Mbunge wa CHADEMA Jimbo la Kawe Halima Mdee leo kupitia kwenye ukurasa wake wa Kijamii wa Twitter amesema uuzwaji wa nyumba za serikali ni miongoni mwa mambo ya Kifisadi yaliyowahi kutokea na yanayoendelea kuligharimu Taifa. Halima Mdee aliongeza kusema kuwa…
Mwanajeshi Aliyeshambuliwa DR Congo Afariki Dunia
Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) aliyekuwa katika ulinzi wa amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) amefariki dunia nchini Uganda alimokuwa akipatiwa matibabu. Askari huyo ni miongoni mwa askari 44 wa Tanzania waliojeruhiwa katika…
Arsenal, Liverpool Hakuna Mbabe
Ligi kuu nchini uingereza jana usiku iliendelea kwa kuzikutanisha Arsenal na Liverpool kwenye uwamja wa Emirates, ambapo kulishuhudia wanaume hao wakitunishiana misuli baada ya kufungana mabao 3 kwa 3. Liverpool walikuwa wakwanza kuandika bao lililofungwa na Philippe Coutinho kwenye dakika…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 23, 2017
Kam upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumamosi Disemba, 23, 2017 nimekuekea hapa.
Chama cha Siasa ni Umoja
Wapo wanasiasa nchini ambao wamezua mtindo wa kuhama kutoka chama kimoja cha siasa na kujiunga na chama kingine. Na wakati mwingine wamekuwa wakihama kwenda chama kingine, lakini baadaye wakirudi katika chama cha awali. Sababu zinazoelezwa kuhusiana na hatua hiyo ni…