Month: December 2017
WAZIRI NDALICHAKO: WADAIWA WOTE WA MIKOPO YA ELIMU YA JUU LAZIMA WALIPE
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako amewataka wote wanaodaiwa mikopo ya Elimu ya Juu kuirejesha mikopo hiyo mara moja pasipo kungoja kuchukuliwa hatua za kisheria. Katika mahojiano aliyoyafanya na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Waziri…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 24, 2017
Kam upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumapili Disemba, 24, 2017 nimekuekea hapa
Barcelona Yaizalilisha Madrid, Yaitandika Mabao 3-0
KLABU ya Barcelona imeipa kichapo cha bao 3-0 mahasimu wao Real Madrid katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka nchini Hispania, maarufu kama LaLiga Santada. Katika mchezo huo wa kusisimua na ulioshuhudiwa na mamilioni ya watu duniani kote, hadi dakika…
Mohammed ‘Mo’ Dewji Amtaka Omog Kujiuzulu Simba
Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Joseph Omog ametakiwa kujiuzulu mara moja baada ya timu hiyo kuondolewa mapema katika michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) ambalo wao ndio walikuwa mabingwa watetezi. Simba ilifungishwa virago na Green Warriors inayoshiriki ligi daraja…
MAMA MOBETO AMTUPIA KIJEMBE KIAINA MAMA ESMA
MAMA mzazi wa Mwanamitindo maarufu Bongo Hamisa Mobeto, Shufaa Lutigunga amefunguka kuwa hayuko tayari kuolewa na “Serengeti Boy” wakati watu wazima wenzie wapo, kitendo ambacho kimetafsiriwa kuwa ni kumchana mama Esma aliyeolewa hivi karibuni na kijana mwenye umri mdogo kulinganisha…
Kuelekea Elclasico, Ronaldo na Messi Kufungiwa Camera za HD 4K
LEO ni vita ya kufunga mwaka kwenye Ligi Kuu Soka ya Hispania maarufu kama La Liga, amabapo Miamba miwilli ya Soka Duniani Barcelona na Real Madrid kukutana kwenye mchezo wa ligi kuwania point 3 muhimu na kuweza kufunga mwaka kwa…