Month: December 2017
Waziri Mkuu Majaliwa Avunja Mfuko wa Kuendeleza Pamba
amegiza wahusika wote wachunguzwe ili kubaini fedha walizokusanya zimetumikaje. Alitoa agizo hilo mwishoni mwa wiki (Ijumaa, Desemba 22, 2017) wakati akizungumza na wadau wa zao hilo kwenye kikao alichokiitisha mkoani Shinyanga kufanya ufuatiliaji wa maagizo ambayo alikwishakuyatoa. Waziri Mkuu alishafanya…
“MAGUFULI TUBEBE”, INAWEZEKANA WIMBO HUU UKATUMIKA 2020
Wimbo special kwa mheshimiwa Rais Magufuli, wimbo huu umeandaliwa na Rose muhando. Kama umependa wimbo huu share na rafiki zako https://youtu.be/RYvqTwxC9q0
HUSSEIN BASHE AWAOMBA RADHI WOTE ALIOWAKOSEA
Katika salamu za kuazimisha kuzaliwa kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo ( Christmas) Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe ametumia siku hii ya leo ya Christmas kuwaomba radhi wale wote aliowakosea katika utekelezaji wa majukumu yake.
MTWARA WASIMAMISHA MNADA WA KOROSHO
Chama kikuu cha Ushirika Cha Masasi,Mtwara Cooperative Union(MAMCU) kimelazimika Kusimamisha Minada ya zao la Korosho Iliyokuwa Ikifanyika kila Ijumaa kwa Kipindi cha Wiki Mbili kutokana na Wakulima Kukusanya Korosho ambazo hazijakauka hali inayoathiri Soko hilo. Kaimu Meneja wa MAMCU Potency…
Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 25, 2017
Kam upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatatu Disemba, 25, 2017 nimekuekea hapa