Month: December 2017
Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 26, 2017
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumanne Disemba, 26, 2017 nimekuekea hapa
PIGO: CHADEMA YAZIDI KUANGAMIA
Kwa lugha nyingine tunaweza kusema CHADEMA inazidi kuangamia kutokana na kinachoendelea ndani ya chama hicho kuondokewa na viongozi pamoja na wanachama wake kutimkia chama tawala CCM. Leo aliyekuwa M/kiti wa CHADEMA Wilaya Ngorongoro, Samweli Ole Nakumbale, aliyekuwa mgombea ubunge wa…
Hivi Ndio Viwango Vya Makato ya Kodi ya Mishahara ya Waajiriwa
MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imefafanua kuhusu viwango vya kodi, anavyopaswa kukatwa mtu binafsi aliyeajiriwa. Akizungumza kwenye kipindi cha Kodi kwa Maendeleo kinachorushwa na Shirika la Utangazaji nchini (TBC1) wiki hii, Meneja wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa…
Bony Mwaitege – Mkombozi Wetu Amezaliwa (Official Video)
Huu ni wimbo maalum kwako Msomaji wetu kwa siku ya leo “Mkombozi wetu Yesu Kristo Kazaliwa” https://youtu.be/yyMvqshUcNE
AJALI: Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida Apata Ajali ya Gari
AJALI: Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Juma Kilimba amepata ajali ya gari lake kupinduka leo akiwa na familia yake, mke wake na watoto wawili wamepewa rufaa. Yeye bado na watoto wawili bado wako hospital ya Wilaya Kiomboi ambapo mtoto…
TARAKA YAMPONZA MCHEZAJI WA ZAMANI WA ARSENAL, SASA ALALA SAKAFUNI
Kiungo wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ivory Coast Emmanuel Eboue amepatwa msongo wa mawazo mpaka kufikia hutua ya kutaka kujiua kutokana na hali mbaya inayomkabili katika maisha yake ya sasa. Eboue alikuwa akipokea kiasi kikubwa katika…