Latest Posts
Makamu wa Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa majengo ya Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa Iringa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Deogratius Ndejembi, ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa majengo mapya ya Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE), mkoani Iringa, ikiwa ni sehemu ya jitihada za Serikali ya Awamu ya…
Tanzania yashukuru mchango Benki ya Dunia katika miradi ya maendeleo nchini
Na. Joseph Mahumi, Bangkok, Thailand Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameishukuru Benki ya Dunia kwa mchango wake katika kuimarisha ushirikiano wa maendeleo na Tanzania, hususan katika ufadhili wa miradi ya kimkakati, maendeleo ya rasilimali watu, nishati…
Watahiniwa 667,040 kufanya mitihani wa kidato cha nne, NECTA yaonya udanganyifu
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JUMLA ya watahiniwa 667,040 wamesajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne mwaka huu, huku Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) likitoa wito kwa wadau wa elimu kuhakikisha mtihani huo unafanyika kwa amani, utulivu…
Warda : Wakandarasi waongeze kasi ujenzi wa miradi Manispaa Kibaha
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha MKURUGENZI wa Manispaa ya Kibaha, Warda Abeid Maulid, amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi ya kimkakati katika manispaa hiyo kuongeza kasi ya ujenzi ili ikamilike kwa wakati na kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Maulid ametoa agizo hilo…
Ugunduzi mpya gesi asilia Mnazi Bay kuongeza akiba ya gesi nchini -Waziri Homera
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera amesema zoezi la uchimbaji wa visima vitatu vya gesi asilia katika Kitalu cha Mnazi Bay mkoani Mtwara limekamilika kwa mafanikio makubwa, ambapo imegunduliwa gesi asilia…
Serikali kutumia milioni 600 kuboresha huduma za afya Makambako – Prof. Shemdoe
Na: OWM–TAMISEMI, Makambako Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amesema Serikali itapeleka shilingi milioni 600 katika Halmashauri ya Mji wa Makambako kabla ya Desemba 2026 kwa…





