Mwenyekiti jela kwa kupokea hongo ya 60,000, ashindwa kulipa faini ya milioni 1

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kiteto MAHAKAMA ya Wilaya Kiteto, imemhukumu Mambe Mohamed Mambe , Mwenyekiti wa Kijiji cha Nasetan, Kata ya Engusero, Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara. Mshtakiwa ametiwa hatiani na kuamriwa kwenda jela miaka minne au kulipa faini ya shilingi 1,000,000 kwa makosa ya kuomba na kupokea hongo kiasi cha shilingi 60,000 kinyume…

Read More

Serikali yaja na mfumo kusaidia wahamaji walio katika mazingira hatarishi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za Serikali pamoja na wadau inaandaa mfumo wa rufaa kwa wahamaji walio katika mazingira hatarishi nchini utakaosaidia kutoa huduma kwa makundi maalum wakiwemo watoto. Hayo yamebainika wakati wa kikao kilichowakutanisha Wakurugenzi na Makamishna…

Read More