Watendaji kata, mitaa, maendeleo ya jamii wanolewa Kibaha

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kibaha Mheshiniwa Mussa Ndomba amefungua Kikaokazi cha siku moja kilichowakutanisha Watendaji Kata,Mitaa,Wataalam wa Kilimo,Mifugo na Maafisa Maendeleo ya Jamii kilichofanyika jana Machi 28,2024 kwenye ukumbi wa Halmashauri kikiangazia utoaji wa huduma Blbora kwa wananchi pamoja na ukusanyaji wa Mapato Kikaokazi hiki kimehudhuliwa pia na Mkurugenzi…

Read More

Mufti Sheikh Zubeir kuzindua kitabu chake cha maadili mfungo Mosi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir, anatarajia kuzindua rasmi kitabu chake ambacho kinahusu masuala mazima ya maadili, kitabia ndani ya jamii hususan kwa kundi la vijana, ifikapo mfungo Mosi. Aidha amewaasa watanzania kujenga tabia ya kusaidia makundi maalum pamoja na watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu (yatima) kwa nyakati zote isiishie…

Read More