JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

TTCL yaahidi kuendeleza kutoa huduma bora zaidi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limesema kuwa litaendelea kuboresha huduma zake kwa kutumia teknolojia za kisasa ili kuhakikisha Watanzania wanapata huduma bora, za kuaminika na zenye ubora wa hali ya juu. Akizungumza katika…

Wamanchi wa Serengeti wameamua kumpokea Dk Samia kwa kishindo

๐Ÿ“ธ Tazama nyomi la wananchi wa Serengeti mkoani Mara waliojitokeza katika kumlaki, kumsikiliza na kumpa kura zake kabisa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ป ambaye leo tarehe 10 Oktoba 2025 atanadi Ilani, Sera na Ahadi…

CCM imeendelea kumuenzi hayati mwalimu Nyerere katika misingi ya utawala bora – Dk Samia

Mgombe wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ป amesema CCM imeendelea kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere katika misingi ya utawala bora….

THBUB yalaani tukio la kutekwa kwa Polepole

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imelaani tukio la taarifa za kushambuliwa na kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Mhe. Humphrey Polepole, tukio lililodaiwa kufanywa na watu wasiojulikana tarehe 6…